Kiswahili
Ramani Yanyakati
“Landike njozi ukaifanye iwe wazi sana katika vibao,
ili aisomae apate kuisoma kama maji.” HABAKUKI 2:2
RAMANI YANYAKATI
HUFAFANUA MPANGOWA MUNGUWA KULETA WANAWE WENGI KWENYE UTUKUFU, NA KUSUDI LAKE
“…ili kuleta madarka ya wakati mkamilifu atavijumlisha vitu vyote katika Kristo, vitu vya mbinguni na vitu vya duniani pia. Naam, katika yeye huyo.”—Efe 1:10
Maelezo
ya ramani ya nyakati nyakati
(Majira na vipindi)
Return to Chart at Top of Page
A
Ulimwengu
uliyokuwapo 2 Petro
3:6
|
Mwa. 6-8 |
B
Ulimwengu mwovu wa sasa — maongozi ya pili ya Mungu Gal. 1:4 |
C
Ulimwengu ujao —maongozi ya Mungu ya tatu Waeb
2:5 |
D
Enzi
ya wazee/mababu
Mdo. 7:8 |
E
Enzi
ya Wayahudi
Kumb.
7:6 |
F
Kizazi cha Injili Mk. 1:14-15Mt. 24:14 Mdo. 15:14 |
G
Nyakati za Masihi 1 Kor. 15:25Ufu. 20:1-6 |
H
Nyakati
zijazo
Efeso
2:7 |
f
Nyakati za dhiki ya Israeli katika mavuno ya wayahudi; kutengwa kwa ngano na kapi. Luka 3:16-17 |
S
Wakati wa dhiki ya ulimwengu katika mavuno ya Injili, kutengwa kwa ngano na magugu. Ufu. 14:15, 18Mt. 13:30, 38-40 |
T
Wakati
mfupi wa shetani: kutengwa kwa kondoo na mbuzi. Mt.
25:31-32 |
VIWANGO
(Hatua za kuelekea kwenye utukufu)
Return to Chart at Top of Page
K
Hali
ya kiwango cha utukufu na uwezo wa kiungu. Wfl.
2:9-11 |
L
1 Johane 3:2 |
M
Hali
ya kufanyika mwana wa kiroho. 1 Pet. 1:3-4 |
N
Kiwango
cha kupokea kibali Yak.
2:23, |
P
Kiwango
cha kibali cha Mungu kwa mifano. Waeb. 9:7-10
|
R
Hali
ya dhambi na uovu.
Rom. 5:12 |
PIRAMIDI
(Vyeo vya watu).
Return to Chart at Top of Page
a
Adamu katika ukamlifu Mwa. 1:27, 31 |
Adamu
aliyeanguka na uzao |
|
Wastahili
wa zamani kama Rom. 4:2-3 Ezek. 14:20 |
d
Wanadamu
kutoka wakati wa gharika hadi Wakati wa Masihi. I Yoh.
5:19 |
e
Israeli
ya kimwili ikihesabiwa haki kwa kimfano kama taifa Waeb
10:1 |
KRISTO
Return to Chart at Top of Page
g
Yesu
akiwa na umri wa miaka 30 mtu mkamilifu. Waeb
10:5 |
h
Yesu afanyika mwana wa kiroho katika mto Yordani. Waeb. 4:15 |
i
Yesu afufuka akiwa kiumbe cha kiungu Yoh. 5:26 |
k
Yesu siku 40 baada ya kufufuka, katika utukufu wa kiungu. Mdo
1:9 |
l
Yesu
katika Nyakati za Injili aketi pamoja na Baba katika kiti cha enzi. Waeb. 6:20 |
WAKRISTO KATIKA NYAKATI ZA INJILI
Return to Chart at Top of Page
m
Cheo cha waliozaliwa kwa roho wafanyikao lile Kundi Kubwa. 1 Kor. 3:11,15 |
n
Cheo
cha waliozaliwa kwa roho wafanyikao Bibi Arusi wa Kristo.
Rom. 12:1-2 |
p
Waumini, wala hawakuwa wakfu kikamilifu. Mk.
9:41 |
q
“Mbwa mwitu katika ngozi ya kondoo huenda kanisa lakini sio waumini; wanafiki. Zek. 11:16 |
WAKATI WA MAVUNO YAINJILI.
Return to Chart at Top of Page
r
Yesu katika kuja Kwake kwa Pili. Yoh.
14:1 |
s
Kundi Ndogo, kujitenga na Babiloni Ufu. 18:1-5 |
t
Umati Mkuu, wakosa kupata dhawabu kuu. Mt. 25:1-3, 5-8, 11-12 |
u
Babiloni, sehemu kubwa ya Ufu.
3:15 |
v
Babiloni, idadi fulani ya madhehebu, waanguka hadi kiwango R na wasioamini. Ufu.
18:2 |
w
Kristo aliyetukuzwa, kichwa na mwili. Ufu.
19:7-8 |
MILKI YA MIAKAELFU.
Return to Chart at Top of Page
x
Cheo
cha Kristo Ufu. 3:21 Ufu. 20:4-6 |
y
Cheo
cha ule Umati Mkubwa. Ezek.
44:10-14 |
z
Israeli
wa kimwili warejeshwa kwa umaarufu. Rom. 11:25-29
|
W
Wanadamu
warejeshwa kwa ukamilifu na Isa. 35 |
|